St. Paka Mweupe Napiga hodi hapa ChitChat,Nipokeeni Toto la Kidigo.

Bem vindo sinhorita kama bwana umepataaa alie msafi kima tendo cja wahi kufamaniwa gest ata mara moja ila
 
Ngoja tuangalie huyu kajiunga JF kwa IP zipi na wewe ulijiunga kwa IP gani tutajua au simu gani..!
Tulia St. Paka Mweusi tukuonyeshe kitu! Otherwise kubali yaishe bila adhabu



Na utakapogundua kuwa IP ni tofauti na tu watu tofauti jilete mwenyewe kuchukua adhabu yako...
Na adhabu yenyewe itakuwa ni kukesha na mwanamke rijali wa jukwaa hili..
 
Back
Top Bottom