St. Paka Mweupe Napiga hodi hapa ChitChat,Nipokeeni Toto la Kidigo.

Mi naona mapaka kwa mapaka wanaendana
@St paka mweusi na @St paka mweupe nice couple
mi naona nirudishe majeshi kule huyu msukuma kanishinda ye kila mtu anatamani haya umempata paka mwenzio mjitahidi mzae junior st paka



Jamani amu,unanihukumu bure,hapa si unaona mwenzio nimetongozwa,au kutongozwa ni kosa..??Rudisha moyo mama mimi bado nakuwaza na usiku kucha silali....
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe filipo bila kunitaja mm domo lako halifurahi kabisa au unanitaka nini si useme kuliko kunipakazia humu mmu acha kuwa na kinywa kigugumizi
 
Last edited by a moderator:
Ningeandika kwa white color nini wewe naona unanitafuta na ushanipata yaani wewe unapenda kuwaquote wenzako jiandike wewe kwanza kuliko kututaja majina yetu ujue nakuchukulia sheria ngoja nikaandike RB kule Segerea wewe uende ukale maharage ya wadudu ndo utaona kuwa sipendi tabia hiyo ya kunitajataja ovyo mm ni mke wa mtu na mwenyewe yuko hapa na anaona wewe unaniharibia jinalangu bure hapa FILIPO chunga sana domo lako la kigugumizi.
NIMEWEKA MSISITIZO KWA RED COLOR WEEEEEEEEE KOMA
ungeandika kwa white color sasa!
 
Back
Top Bottom