Paul Muwanga telephoned Nyerere that very day and said: "Mr President, the Democratic Party has won the elections and Paul Semwogerere has just been here, he wants me to hand over to him. What should I do now?" Nyerere replied and said: "Paul Muwanga, you have got my army there – change all the results". Muwanga changed all the results and gave victory to UPC/Obote. (The Commonwealth Observer Team declared the elections free and fair- Editor)
Ni suala tu la kutokujua na au kutotaka kujua. Watu wengi tunapenda kukandia madhehebu ya wengine badala ya kujielimisha kwanza ..hapo ndipo tunapokosea.
Wewe kama unaamini hamna watakatifu ni vyema huenda unazo sababu zako zinazokupendezesha macho lakini kwa kuwa unaonekama kuwa interested na hili suala la 'utakatifu' ungefanya la maana zaidi kujua undani wa wale wanaoamini tofauti na wewe ili usije ukawa na mtizamo uliopotoka.
Abdulhalim, Kama nyie wakatoliki mnaamini katika kuwapabatiza watu kuwa watakatifu mnatumia andiko gani katika Biblia? Tupe hilo andiko tujiridhishe.
Huyu nyerere aliwaumiza sana waislam Tanzania na ndiye aliyepandikiza mbegu za ubaguzi wa kidini
hilo nalo wasilisahu
Biblia sio premise ya kila kitu kinachofundishwa na kuaminiwa na kanisa Katoliki. Kwa hiyo using'ang'anize kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Biblia..Sawasawa?
Sasa bwana Mipasho mm sikatai kuambiwa sijuwi kitu wakati ninauliza, bado unarukaruka tu, hujasema ni vigezo vipi vingine, ukiondoa vya kisiasa(kumbuka kuwa umesema siasa si kigezo pekee, ukimaanisha ni kimojawapo) ambavyo Mwalimu wako Nyerere ana qulify huo utakatifu?Bado unaendeleza ujuaji, hiyo paradox inatoka wapi? Ndo maana nikakwambia saint hood haiangalii medani za kisiasa..Sasa naona unajifanya kuruka kimanga. Ila endelea ukweli nimeshakupasha kama kuumeza utaumeza kama kuutema utautema.
Sasa bwana Mipasho mm sikatai kuambiwa sijuwi kitu wakati ninauliza, bado unarukaruka tu, hujasema ni vigezo vipi vingine, ukiondoa vya kisiasa(kumbuka kuwa umesema siasa si kigezo pekee, ukimaanisha ni kimojawapo) ambavyo Mwalimu wako Nyerere ana qulify huo utakatifu?
Sasa mambo si yamwege hapa JF tufaidike sote?!Kwa sisi tulioamini process tunaijua na inatuhusu kiundani. Kwa wewe usiyeamini kitakuwa ni kichina na upotevu wa wakati kukujuza. Ila kama bado una-interest be the guest of the jungle.. just google it.
..na kwa nini mfaidike wote wakati haiwahusu?Sasa mambo si yamwege hapa JF tufaidike sote?!
Coz we are the Great Thinkers so Lets think it together...na kwa nini mfaidike wote wakati haiwahusu?
Huyu nyerere aliwaumiza sana waislam Tanzania na ndiye aliyepandikiza mbegu za ubaguzi wa kidini
hilo nalo wasilisahu
Coz we are the Great Thinkers so Lets think it together.
Ni wapi imethibitishwa kuwa ww ni Abdulhalim?Ni wapi imethibitishwa kuwa wewe ni great thinker?
Ni wapi imethibitishwa kuwa ww ni Abdulhalim?
Sio kila kitu kinahitaji uthibitisho....
Sasa nini tena!?
Nilifikiri pale ulipo nambia sijuwi kitu katika mambo yenu, kwa kiasi cha ujinga ulionipa, nikaona nikuulize kumbe na ww mwenzangu...????????
Watanzania kwa kupenda short cuts !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hata yeye kuhutubia baraza la umoja wa mataifa kutaitwa miujiza.