Nenda internet cafe nunua muda wa kutumia internet,google St.John's University of Tanzania utapata tarifa zote.Jifunze kujishughulisha,usingoje kutafutiwa kila kitu.Hii ni Karne ya kukimbia siyo kutembea.