St. Joseph St.Joseph. St. Joseph. na unyanyasaji wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St. Joseph St.Joseph. St. Joseph. na unyanyasaji wake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by simon41, Jun 28, 2011.

 1. simon41

  simon41 Senior Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa taarifa za ndani zinasema kuwa Pinda amewajibu kuwa atakuwa na nafasi mwezi wa tisa na Jk akawaambia kuwa nafasi atapata nafasi mwakani. Besides that bado kuna baadhi ya wanafunzi hawajapewa nafasi ya kufanya final presentation ya project zao za mwisho kwa sababu wanadaiwa ada na michango mbalimbali. Halafu ni chuo kilicho kuja na kusajiliwa kwa mgongo wa dini.

  Mtazamo wangu.
  Huu ni ukandamizaji mkubwa kwa sababu mtu atatafutaje kazi muhimu bila kuwa na cheti baadhi ya makampuni hawataki transcripts.Na ina maana hakuna watu wanaoweza kuwa wageni rasmi mpaka hawa politicians,ni uonezi wa hali ya juu.
   
 2. simon41

  simon41 Senior Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa taarifa za ndani zinasema kuwa Pinda amewajibu kuwa atakuwa na nafasi mwezi wa tisa na Jk akawaambia kuwa nafasi atapata nafasi mwakani. Besides that bado kuna baadhi ya wanafunzi hawajapewa nafasi ya kufanya final presentation ya project zao za mwisho kwa sababu wanadaiwa ada na michango mbalimbali. Halafu ni chuo kilicho kuja na kusajiliwa kwa mgongo wa dini.

  Mtazamo wangu.
  Huu ni ukandamizaji mkubwa kwa sababu mtu atatafutaje kazi muhimu bila kuwa na cheti baadhi ya makampuni hawataki transcripts.Ina maana hakuna watu wengine wanoweza kwa wageni rasmi lazima hawa wanasiasa,hii inakaa vipi kama sio uonevu kwa vijana wa ktanzania na wengi wao wakiwa waliotoka mikoani.
   
 3. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kulalamika,cha maana malizia fees yao upewe cheti uingie kwenye mchakato wa kutafuta ajira,
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Haya tumekusikia atakuja Tindu Lissu au a loser Dr Slaa, nadhani moyo wako utakuwa mweupe
   
 5. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Mi£ ni mmoj@ w@o tum£sh@ s@h@u k@k@
   
 6. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wahindi wanatujua WaTz ni mambumbu, tena wanashikwa kwa Siasa tu. Pole, kwani nasikia hata chuo chenyewe ni cha kisiasa hakina ubora ki elimu kuanzia udahili wa wanafunzi, walimu wa chee wa kihindi wenye Masters za ku unga unga, mitihani na usahishaji mbovu mpaka majengo na vitendea kazi. Bodi ya mikopo, Nacte, wizara ya elimu washapewa bahasha wako kimya kama hawaoni. Ikipita miaka kumi ndipo tutaamka usingizi na kugundua TUMELIWA !
   
 7. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe metumwa na nani kumuita Dk Slaa looser? Ama kweli ukimzidi mtu kwa chochote atakuchukia na kukuita majina yoyote kisa hawezi kukukamata kwa yale uliyomzidi!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kwenye graduu sisemi. Ila hao ambao hawajalipa ada unataka wafanye presentation ili iweje? Lipeni ada chuo kiweze kujiendesha! Hata kama ni chuo cha dini/kanisa ndo msilipe ada!
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  WaTz njaa inatumaliza! Chuo kinaendeshwa kihuni huni na wahindi kwasababu tu nacte na tcu wakipewa taarifa yoyote, wanafurahia maana watakuta bahasha zimeshawekwa mezani. Ndio maana mwanafunzi anayelipiwa na Helsb 100pc bado analipa zaidi ya 385000 na hakuna wa kuwatetea! Pole sana ndugu yangu!
   
 10. s

  sativa saligogo Senior Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,hata wale wahindi wa Shirika la reli wanafundisha part-time pale hiyo kali!!!!!
  HARE BABA DUNIA GUUNIA TZ CHEE!!!!
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwa nchi hii, hilo hata sishangai.
   
 12. d

  denji New Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa bongo hayo c mageni!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu mkuu naona hamna ata mmoja aliejibu malalamiko yako zaidi ya kulinganisha matatizo yako na siasa...ni hayo tu
   
 14. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Hapo umemaliza kila kitu mamito!
   
 15. C

  CONECTED GUY Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  starting with the director Tx yule jamaa ana involvement kwenye dirty business last year alikamatwa na COKE na vijana wa NZOWA wakafikia kumduplicate chowo who knows kilichoendelea
  on other hand the total administration ime base kwenye vitisho,corupt &ukandamizaji both kwa wanafunzi and workers
  speaking of the administration starting from masista and one nut Russel raj wana lugha chafu who doest know yule director amezaa na mwanafunzi aliyemaliza diploma pale na still anatembea na wanafunzi
  However elimu wnayotoa cyo mbaya na wanajitahiei ku-deliver wats needed kuhusu vyeti its truth inachelewesha wanaotaka kuendelea na masters lakini upande wa ajira cyo kweli because wamepewa tranceipt labda there other reasons
  kulipa ni lazima since ni mkataba
  nilicho wasifu wamejitahidi sana kumintain discipline
  swala la rais kutoa vyeti might be true but who cares hata akija diwani as far ana vigezo vya kutoa hiyo degree
   
 16. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Umeamua uje na ID mpya
   
 17. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua mie chuo cha Engineering hapa Tanzania sio St Joseph tu.kuna vyuo vingi tu.swali kwa kuyaona hayo yaliyotajwa hapo juu,kwa nini msiache au kuwahamisha chuo wadogo zenu ambao bado wanasoma pale?,badala yake unang'ang'ania kulalamika wakati bado uko hapo hapo?,au umefungwa pingu hapo?
   
 18. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo huyo mr Tx kwa sasa ana kesi mahakani kwa kosa la kukamatwa na cocain?,mie nafikiri hayo ni maswala personal ya mtu hayana link na chuo
   
 19. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  now you are talking!
   
 20. s

  stevemdonya New Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale chenga hamna kitu ni vile hatuna wahandisi na mgongo wa dini quality ya elimu pale chini wana admit hata EGM asome engineering,wanaleta usanii
   
Loading...