Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo.
Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo kusudi lisipokuwepo hiyo hela inakosa maelezo na wazazi wanaogopa kuuliza kisa SISTER atamchukia mwanao ambaye ni mwanafunzi na atampa HARD TIME shuleni.
1. Mfano, hela ya mtihani, TAHOSA. Elfu 20 kila mwanafunzi, wazazi wametoa na mtindo huo haukuwepo.
2. CAUTION MONEY
Kila mwaka wazazi wanatoa hata kama hakuna damage mtoto aliyofanya, hela hairudi.
Tunaomba uongozi wa shule utupe majibu hayo, tunaogopa kuuliza kwa sababu SISTER inasadikika akijua ni mzazi fulani basi mwanao anakuwa katika wakati mgumu shuleni.