NIMEKIMBIA CCM
Senior Member
- Oct 4, 2011
- 193
- 26
Kama kuna mtu ambae anafahamu ubora au udhaifu na sifa mbalimbali za hiki chuo,naomba anisaidie ukilinganisha na soko la ajila la sasa
Ebu jaribu ku google au uliza cheki website yao.Samahani wadau,hiki chuo kimeanzishwa lini?Kipo dar sehemu gani?
Kiko maeneo ya magari saba,unapanga daladala mpaka mbezi mwisho(Mbezi ya kimara) kutoka hapo unaweza panda gari ya kibamba au maili moja .shuka kituo cha magari saba au omba msaada sheli ni badaya ya magari saba na kabla ya kituo cha Makondeko.Chuo kitakuwa kulia kwako.Samahani wadau,hiki chuo kimeanzishwa lini?Kipo dar sehemu gani?
mimi sio student wa pale ila kwa wanaosoma pale wanakisif mno...ni kizur sana..maswala ya gpa kama unasoma utakosa gpa kubwa kwa nini??? swala c ugum wa pepa,swala ni kichwani kuna nini haswa kwenye practicals!! ni chuo kizur huo ndo ukwel!! fikiria zaid man!!!Wanatoka na GPA kubwa kubwa.over
afu umekaa kishaki shabiki eeh??!! Je kabla ya kuropoka ulijiuliza maana ya BRIDGE CAURSE ni nini?? afu kikawaida div 4 degree ni ngum labda diploma...afu mbona huendani na jina lako?? acha kua na mwazo mgando!!!!div 4 au 3 mbaya fresh tu pale
sasa ndo ya undergraduate au postgraduate?? embu nieleweshe mkuu??Haya wale wadogo zangu mliopangiwa vyuo
University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - for UD
Welcome to St.Joesph University In Tanzania for St.Joseph Univ
Home - The Institute of Finance Management for IFM
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference for Arusha Tech
Tumaini University - Iringa University College for Tumaini
SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA for St.Augustine Univ
St.John's University of Tanzania for St.John Univ
Dar es Salaam Institute of Technology for DIT
wengine watamalizia...Thanks,Masomo mema.
div 4 au 3 mbaya fresh tu pale
sasa ndo ya undergraduate au postgraduate?? embu nieleweshe mkuu??
div 4 au 3 mbaya fresh tu pale