St. Joseph Collage Of Engineering

Kweli hicho sio chuo ni sekondary coz kuna sheria za kitoto..kwa iyo wote mnavaa mashati??
Na jeans vp wanazngua..
 
Bro unaweza ukahama kutoka chou kmoja kwenda kingine bila ya kukanyaga chuo ulchopangiwa?..na hua inakua vp unaweza kuamia hata cha serikali? Naomba unielezee vzur hapo kaka
 
Bro unaweza ukahama kutoka chou kmoja kwenda kingine bila ya kukanyaga chuo ulchopangiwa?..na hua inakua vp unaweza kuamia hata cha serikali? Naomba unielezee vzur hapo kaka

yap,ila pia nasikia inapitia tcu na kuna gharama unalipia ila uhakikishe kuna nafasi chuo husika juu ya iyo facult kitu kingine nasikia kuwa mkopo unaweza usipate semister nzima so utegemee ilo pia
 
Kweli hicho sio chuo ni sekondary coz kuna sheria za kitoto..kwa iyo wote mnavaa mashati??
Na jeans vp wanazngua..

Mkuu kila sehemu kuna taratibu,Kwahiyo lazima uheshimu taratibu za kila mahali.

Wote hawavai mashati lakini wotewanavaa nguo za juu zenye ukosi.

Jeans aina yeyote hawakatazi,Lakini jambo la msingi kama hukubaliani na sheria husika unaweza hama chuo.
 
Sorry friends,,ivi hii ni st joseph ya mbezi au?maana nasikia ziko nyingi ivii?
 
mi informati0n system n network engineering
 
mi informati0n system n network engineering

Mambbo haya ya network wako vizuri sana,Tatizo kubwa ni sheria zao.Pia kama huna uhakika wa ada chuo hiki sio rafiki kwa mwanafunzi ambae ada hana uhakika nayo.Kuhusu Pindi wanapiga mpaka mwanafunzi unayachukia masomo.unapiga pepa nne mpaka unakuja fikia UE ambayo niya tano.Asaiment kumi kwa kila somo,asume una masomo nane kwahiyo mpaka unamaliza semister utakuwa umepiga asaimenti 80.Hakuna asaiment ya kikudi kila mtu anapiga mwenyewe na hizo zote ni ndani ya miez minne.
 
Bro unaweza ukahama kutoka chou kmoja kwenda kingine bila ya kukanyaga chuo ulchopangiwa?..na hua inakua vp unaweza kuamia hata cha serikali? Naomba unielezee vzur hapo kaka

Kuhama unaweza tena ni rahisi sana tatizo ni kuhamisha mkopo.
 
Nenda chuo unachotaka kuhamia uulizie nafasi kama ipo utaandikiwa barua.Then andika barua mbili za kuhama chuo unachotaka kuhama moja kambizi chuo ulicho chaguliwa nyingine nenda nayo tcu.Uwape tcu barua hizo mbili ile uliyoandikiwa chuo unachotaka kuhamia na ile uliyoandika chuo unachohama.Baada ya hapo tcu watakufanyia transfer za tarifa zako kuzipeleka chuo unachohamia.Muda inategemeana na ufatiliaji wako but ukiwa serious ni wiki moja mpaka mbili.
 
Kuhusu pesa inategemeana na chuo unaweza rudishiwa au usirudishiwe.But unapo amua kuhana inakubid uachane na baadhi ya vitu vitakavyokupotezea muda kama kudai urudishiwe pesa yako.
 
Kuhusu pesa inategemeana na chuo unaweza rudishiwa au usirudishiwe.But unapo amua kuhana inakubid uachane na baadhi ya vitu vitakavyokupotezea muda kama kudai urudishiwe pesa yako.

so kaka kalinzi umeazimia kuhama n mujue registration inaanza juma 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…