sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Wadau tusaidieni mimi nasoma chuo kikuu cha st john mpaka sasa walioopewa mkopo ni wanafunzi 40 tu kati ya 130
Ndio tumeshaachwa au tusubiri????
Ndio tumeshaachwa au tusubiri????
Daaaah we jamaa mambo yako cyawezi .!oya Sir Doctor apo kuna Mdogo wangu anapga phamarcy ...alikuwa hajapata mkopo ...mchek akupe connection amefatilia akapewa