MATO GOODLUCK BILASI
Member
- Aug 24, 2013
- 30
- 1
..ndugu zangu mliochaguliwa st marks dar..kama kuna yeyote anayejua cku ya kuripot kwa first year chuon tujuzane..cz wengine ata hatujui knachoendelea n kp...nawasilisha wandugu
duu same2 me hata cjui ni lini
me saiv nimetumiwa text toka chuoni wamenijulisha kuwa nimechaguliwa hapo so natakiwa nikachukue joining instruction b4 the end of ths month
me saiv nimetumiwa text toka chuoni wamenijulisha kuwa nimechaguliwa hapo so natakiwa nikachukue joining instruction b4 the end of ths month
mbona mimi hawajanitumia au bado hawajanifikia? Ngoja nisubiri
joining mtachukua chuoni mkija . kufungua tar 7 october
kwaaliena tatizo anitafute bure 0654370515