emmadeclassic JF-Expert Member Joined Sep 28, 2015 Posts 304 Reaction score 133 Sep 12, 2016 #21 R100 said: Una uhakika gani mkuu kwan kuna sehemu TCU wamesema walioandikiwa not found wamekosa vyuo acha kukurupuka Click to expand... ndo hua iko hivoo
R100 said: Una uhakika gani mkuu kwan kuna sehemu TCU wamesema walioandikiwa not found wamekosa vyuo acha kukurupuka Click to expand... ndo hua iko hivoo
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Sep 12, 2016 #22 R100 said: Haina shida nitaapply second round Click to expand... pole mkuu usikate tamaa yani ukiona unambiwa not found ina maana bado ujachaguliwa
R100 said: Haina shida nitaapply second round Click to expand... pole mkuu usikate tamaa yani ukiona unambiwa not found ina maana bado ujachaguliwa
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 12, 2016 #23 nakuja tena said: pole mkuu usikate tamaa yani ukiona unambiwa not found ina maana bado ujachaguliwa Click to expand... Lakini labda uchaguzi ulikuwa haujakamilika
nakuja tena said: pole mkuu usikate tamaa yani ukiona unambiwa not found ina maana bado ujachaguliwa Click to expand... Lakini labda uchaguzi ulikuwa haujakamilika
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Sep 12, 2016 #25 R100 said: Lakini labda uchaguzi ulikuwa haujakamilika Click to expand... inawezekana mkuu vuta subira
R100 said: Lakini labda uchaguzi ulikuwa haujakamilika Click to expand... inawezekana mkuu vuta subira
Mgogo Mmoja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 332 Reaction score 336 Oct 19, 2016 #26 Mmesharipot chuo vijana..?! Em leten dondoo za hapo ..!!