rapharacker
Member
- Jul 22, 2016
- 65
- 23
Duh!sawa aisee kwa sababu sijasikia hata wa bachelor of arts with education aliyeona amwchaguliwa wapi mimi naona tuu ni wa science.Applicant not found inasumbua sana haieleweki kuwa ni kutemwa ama vipi
Ila law wapoDuh!sawa aisee kwa sababu sijasikia hata wa bachelor of arts with education aliyeona amwchaguliwa wapi mimi naona tuu ni wa science.
Yap law wapo lakini sijaona ww education hata mmoja artsIla law wapo
Mara ya mwisho mnaziona hizo selection ilikuwa saa ngapi wakuuIla law wapo
Jaman kwa waliobahatika kuchaguliwa saint john university course ya phamarcy au yeyote yule mwenye ujuz na hii course tujumuike pamoja katika hii thread ili kujua changamoto zake na hata kujulishana katika swala zima la ajira
sio kusumbua umekosa chuo mkuu wait 2nd phaseApplicant not found inasumbua sana haieleweki kuwa ni kutemwa ama vipi
Una uhakika gani mkuu kwan kuna sehemu TCU wamesema walioandikiwa not found wamekosa vyuo acha kukurupukasio kusumbua umekosa chuo mkuu wait 2nd phase
Hongera sana mkuu.Yes member st john bachelor of pharmacy hata Mimi nimo
AsanteeeeHongera sana mkuu.
ha ha pole mkuu hun ndo ukweliUna uhakika gani mkuu kwan kuna sehemu TCU wamesema walioandikiwa not found wamekosa vyuo acha kukurupuka
Haina shida nitaapply second roundha ha pole mkuu hun ndo ukweli