St John Ada ya kuanzia First Year

St John Ada ya kuanzia First Year

must be

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
84
Reaction score
28
/ATTACH]Naomba kufaham kiasi cha hela mtu anachotakiwa kulipia bank kabla boom alijalipwa kwa Bachelor ya Pharmacy
 
Attachments

  • 1476097613970.jpg
    1476097613970.jpg
    50.8 KB · Views: 74
ukiangalia kwenye join instructions inasema milion 3 kwa mwaka bila boom sijajua ukipata boom unaongezee ngapi ili tujitayarishe maana kuripoti tar 17 oct bila kulipa michango haupokelewi
 
wana utaratibu mzuri tu pale, suala la hizo fedha sio la kuliwaza maana ukifika pale wakati wa ku sign boom unaweza ku deduct gharama zote ambazo loans board hawakulipii. na ndivyo wengi wanavyofanya.hiyo ni kwa direct cost na ada zinaazoongezeka, mfano mtu ambaye anasomea ualimu (Bsc ed) analipiwa 1.3M na bodi wakati ada ni 1.7M, hivyo hiyo 400k ukitaka unaweza ku deduct kwenye boom, the same kwa direct cost ambayo hapo ni 220k
 
Asante sasa hofu imeondoka maana nilikuwa nikifikiria mil 3
 
naombeni join intruction ya st john tumeni apa tafadhal nimejitaid nkaikosa
 
Back
Top Bottom