St James secondary school, Bukoba

Naomba mwenye mawasiliano na shule ya St James secondary school ya Bukoba anisaidie.
Mi nipo Bukoba maisha yangu yote lakini hiyo shule siijui. Kama unajua ipo eneo gani au mmiliki wake ni nani niambie tu ntakusaidia kupata mawasiliano yao.
 
Back
Top Bottom