ndio hapohapo,yani wameweka pesa mbele kuliko utu,na hiyo imewafanya hata maspecialist wengi kuondoka,wagonjwa wanateseka coz hakuna ushindani,me nadhani Ni issue ya kubadilisha system nzima ya uongoz mambo yatakaa sawa.Hapo si ndiyo alipokuwa Daktari bingwa wa upasuaji anaitwa Kibatala?
Kwa hiyo mgonjwa unaingia injection room uwe umeshika risiti na kadi yako siyo?Sahivi ipo chini ya bwana mmoja wa kigoma kama sikosei,Yani akikuta muuguzi au daktari anamuhudumia mgonjwa bila risiti Ni msala.sasa unategemea hawa wachini wataleta mchezo juu ya Hilo?
Usikute huko injection room unatakiwa unyanyue juu mkono mmoja wenye risiti na mwingine uunyanyue ukiwa na kadi ili uchomwe vizuri sindano ya tako bila disturbance.Kwa hiyo mgonjwa unaingia injection room uwe umeshika risiti na kadi yako siyo?
ndio hivyo na siyo injection pekeake hata dressing room,sehemu ya kufungia POP n.kKwa hiyo mgonjwa unaingia injection room uwe umeshika risiti na kadi yako siyo?
Asante mkuu kumbe na wewe umeona hiii kitundio hapohapo,yani wameweka pesa mbele kuliko utu,na hiyo imewafanya hata maspecialist wengi kuondoka,wagonjwa wanateseka coz hakuna ushindani,me nadhani Ni issue ya kubadilisha system nzima ya uongoz mambo yatakaa sawa.
HaswaaaaHapo si ndiyo alipokuwa Daktari bingwa wa upasuaji anaitwa Kibatala?