Jasmin mziray
Member
- Jun 22, 2016
- 9
- 0
Kwa anayeifahamu vizuri St Clara. naomba tujuzane Ada sh ngapi kwa mwaka .
Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine.Tsh 1,200,000 namba ya head mistress ni 0685 049 537 muulize vingine atakwambia
Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine.