mpeleke hapa. its the best schoo compared to St Aloysius-Visiga.St Mary Goreti
Haijalishi Mkuu, matokeo hubadilika.matokeo ya form 4 yaliyotoka jana yapo hivi:
St Aloysius imeshika nafasi ya 12 kitaifa (mwaka jana ilikuwa ya 6).
St Mary Goret imeshika nafasi ya 52 kitaifa (mwaka jana sijui)
common sense inahitajika hapo.
mkuu, St Aloysius wamejipanga vizuri sana.Haijalishi Mkuu, matokeo hubadilika.
Najua sana ndugu. Nimezungumza kwa uzoefu wangumkuu, St Aloysius wamejipanga vizuri sana.
in fact, hata Canossa wanawagwaya sana St Aloysius kuliko shule nyingine zote za masista.
Hivi bado Sister Njau ni headmistress pale Mary G...??Goreti ishashuka kielimu na status Aloysius ni nzuri
Miaka 3 mfululizo. Sijajua ila huyu sister wa sikunyingiHivi bado Sister Njau ni headmistress pale Mary G...??
Wame-drop sana sana....si kawaida...something must be done kuinusuru
Sister Njau alikuwa kiboko...nadhani atakuwa amehamishwa labda..shule ime-drop sana..Miaka 3 mfululizo. Sijajua ila huyu sister wa sikunyingi
Kwa wazazi kuna kucheza kamali kwenye haya majambo. Mimi ningechukua risk ya kumpeleka St Aloysius hata kama matokeo hubadilika. Kinidhamu sidhani kama zinapitana sana (hizi ni hisia zangu tu).matokeo ya form 4 yaliyotoka jana yapo hivi:
St Aloysius imeshika nafasi ya 12 kitaifa (mwaka jana ilikuwa ya 6).
St Mary Goret imeshika nafasi ya 52 kitaifa (mwaka jana sijui)
common sense inahitajika hapo.
Ni kweli...Naijua Maria Goreti vizuri.
Wapo vizuri.
Tatizo la sister Njau ni kuchukua wanafunzi wengi!! Kama over 140! Na ndio maana walipata div 4 chache zinawashusha. Ukiangalia matokeo ya mmoja mmoja utagundua wamefanya vizuri sana. Aloysius siifahamu.
St Aloysius ni kashule kamekuja kwa kasi sanamkuu, St Aloysius wamejipanga vizuri sana.
in fact, hata Canossa wanawagwaya sana St Aloysius kuliko shule nyingine zote za masista.
Sister mtata sana...ila bado mtaani watu walikuwa wanatafuna watoto wake.Hivi bado Sister Njau ni headmistress pale Mary G...??
Wame-drop sana sana....si kawaida...something must be done kuinusuru