Abdi 00082
Member
- Mar 24, 2019
- 52
- 25
Wale waliopata nafasi ya kuchaguliwa saut mwanza vp admission later na joining instruction zinapatikana wap?
Hahahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]. Uandishi wa kitoto kbsa huo mkuu hauku unotice.
bumper to bumperKumbe mtoto mwenyewe ulikuwa wewe!
Joining instructions zitatoka tuu relax.View attachment 1193233
Mkuu imebid nimzoom nyuzi zake za nyuma nikakutana na hako ka uzi akijifanya ni baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uandishi wa kitoto kbsa huo mkuu hauku unotice.
Unafaa kua Fbi
😂😂alikuwa anatu enjoy aiseeMkuu imebid nimzoom nyuzi zake za nyuma nikakutana na hako ka uzi akijifanya ni baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabu na mateso gani hayo brooKarbu SAUT kwenye tabu na mateso
Meteso mengi SanaTabu na mateso gani hayo broo
Tabu na mateso gani hayo broo
BAPRMMeteso mengi Sana
Umeaply course gan?
Tuanzie apo kwanza
mara paap unakutana na mziki wa sakina mixer maina kazingua ..hujakaa sawa osim imeshakeBAPRM
Hahaha haha mbn unanitisha mkuum
mara paap unakutana na mziki wa sakina mixer maina kazingua ..hujakaa sawa osim imeshake
Same KakaBAPRM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mkuu imebid nimzoom nyuzi zake za nyuma nikakutana na hako ka uzi akijifanya ni baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahhah!!!!!!! Jaman hyu mtoto ni noma