Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Hii mfuko yafaa ichunguzwe kiundani zaidi. Haiwezekani Mwanachama anajiunga na Fomu anajaza kiwango cha Mshahara wake, halafu kila Mwezi kunakuwa na utofauti wa kiasi cha makato,
Mfano;
Mfanyakazi kajaza kwenye Fomu analipwa mshahara 150,000, Mafao (NSSF/PPF) makato ni 15,000, lakini cha ajabu anaweza akakatwa chini ya hapo, mala 10000, 9000, 9500. hilo moja.
Kubwa zaidi,
Wanashirikiana na Waajiri kubadirisha viwango vya Mshahara kwenye makato yao,
Mfano,
Mfanyakazi analipwa 600,000. Huyu ataandikiwa 150,000 ili kumlinda mwajili asitoe kiwango kikubwa au kumchangia Mwajiliwa au mfanyakazi mafao ya kueleweka. kuna ushahidi na kwa kuwa Serikali ya Magufuli inajari najua hili litafanyiwa Uchunguzi hasa Viwandani, Viwanda vinavyo husika na haya ni vya wenzetu hawa Wahindi.
Kiukweli inaumiza sana, Mtu unaweza fanya kazi Miaka 10 Kiwandani siku ya mwisho unapata mafao yako ya kutumia siku 10 ni aibu sana.
Ndio maana Tanzania Kustafu kazi ni sawa na kufukuzwa kazi, watu hawapendi kustafu kwa sababu ya wizi wa Mifuko ya Kijamii.