Zinaweza kuerekodi wakati watu wanafanya hyo kazi ya kubeba na kupakia kama mtu akiwa eneo la tukio husika. Na picha yake kutumika km ushauri-Thatz what I meant.
hii kitu iko pale samora freedom communication kwa garama ya elfu 80 tu ya 2 gb,wana bizaa nyingi za security kuna pia saa za mkononi,za mezani za ukutani na tai za camera.tembelea pale ujionee ila sina huwakika kama bado zipo maana ni mda sana nilitembelea pale kama mwezi wa 4 hivi

Unaua dili la mshikaji mtoa mada mkuu!! Ye kashapata wateja wake wa Tshs 150,000/= we unakuja unawaonyesha wateja duka la Tshs 80,000/=!!!, noma sana wewe!!