mkuu, kwani hamna vifaa vya kumfatilia mtu ambavyo vina gps/gprs ambavyo unaweza kumfuatilia ama kujua alipo sehem yoyote anayoenda. hasa hizo tracking device ila ziwe ndogo kabisa nimuwekee mwanangu na baadae mama watoto bila ya wao kujua wala kuhisi