Hata tukijua vigezo, kwa pointi zilizoandikwa hapo juu inaonysha dhahiri kuwa tuzo hizi ni uendelezaji wa ubabaishaji ambao tumeshauzoeaNadhani ni vizuri tungejua kwanza vigezo walivyotumia ndio tuwalaumu kama hivyo vigezo havina mashiko...
Hata tukijua vigezo, kwa pointi zilizoandikwa hapo juu inaonysha dhahiri kuwa tuzo hizi ni uendelezaji wa ubabaishaji ambao tumeshauzoea
Uache ushabiki na kuumauma maneno mtani.....Just call a spade a spade ... not a big spoon...timu kuchukua Ubingwa si kigezo cha kutoa Mchezaji bora, Kipa bora au Kocha bora.
- kinachoangaliwa ni mchezaji ameshirikiana vipi na wenzie uwanjani kuakikisha timu yake inafanya vizuri, nidhamu pamoja kama mchezaji kujua na kutambua majukumu yake.
Bartez kufungwa magoli machache inawezekana mpira ulikua aumfikii mara kwa mara kutokana na kazi pevu inayokua imefanywa na mabeki, sasa unategemea apewe zawadi bila kufanya kazi,...; Kipa wa Mtibwa inawezekana alifanya vyema kuokoa michomo ya hatari ambayo Bartez na Kaseja hawakukutana nayo.
Sure Boy wa Azam sioni kama wamempendelea kumpa zawadi ya Mchezaji bora chipukizi, kazi anayoifanya Azam na kwenye kikosi cha Taifa Staz si ndogo ukilinganisha na umri wake.
Amri Kiemba, zawadi aliyopata anastahili kabisa; atupaswi kutafuta vigezo vya mbali na hisi anaweza kuingia ata kwenye kinyanganyilo cha mchezaji bora wa Afrika mashariki bila mashaka yoyote.
Kuhusu Kocha bora: anapimwa kulingana na aina ya wachezaji anaokua nao na ni mafanikio yapi ameyapata kutokana na wachezaji hao: sasa ulitaka Brandts pamoja na pesa za Manji za kununua wachezaji wa bei ghali tena ma-professional ndo awe Kocha bora!!!! ameifanyia nini timu cha maana; ile timu ya Yanga kwa jinsi ilivyokua ata kama angekabiziwa Madega au Nsajigwa kama Chief Coach ingechukua Ubingwa.
Uache ushabiki na kuumauma maneno mtani.....Just call a spade a spade ... not a big spoon...
Tuzo za SPUTANZA ni aina ya ubabaishaji mwingine katika soka la Tanzania mkuu.....Inawezekana lengo la SPUTANZA lilikuwa ni kutoa tuzo kwa wachezaji na makocha raia wa Tanzania tu lakini si kwa ubora katika uchezaji wala ukocha.....
Ni ajabu kumpa tuzo Amri Kiemba na kumuacha Kipre Tchetche wa Azam.....
Ni ajabu kumpa Tuzo Amri Kiemba na kumuacha Haruna Niyonzima wa Yanga....Ni ajabu sana kumpa Tuzo Salum Abubakary na kumuacha kiungo chipukizi wa Yanga na Stars Frank Domayo.....
Ni ajabu kumpa tuzo ya ukocha bora Meky Mexime wa Mtibwa na kuwaacha Stewart Hall wa Azam, Patrick Liehwig wa Simba (aliyejikita katika kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi na kuifanya Simba iwe tishio dakika za lala salama) na Ernie Brandts wa Yanga.....
Ni ajabu zaidi kumpa Tuzo ya kipa bora Hussein Sharif wa Mtibwa na kumuacha Ally Mustapha wa Yanga aliyefungwa magoli machache kuliko wote katika Ligi Kuu.....
Kwa ujumla Tuzo hizi za SPUTANZA zimejaa maajabu ya aina yake ambayo kwa Tanzania ninaona ni kitu cha kwaida tu.....
Nilitegemea Tuzo hizi zingekuwa chahcu ya kutoaq changamoto kwa wachezaji wetu wa Kitanzania kuiga aina ya uchezaji na ufundishaji wa wachezaji na makocha wa kigeni ambao tukiri tu kwamba baadhi yao wamewazidi sana wachezaji na makocha wetu....
timu kuchukua Ubingwa si kigezo cha kutoa Mchezaji bora, Kipa bora au Kocha bora.
- kinachoangaliwa ni mchezaji ameshirikiana vipi na wenzie uwanjani kuakikisha timu yake inafanya vizuri, nidhamu pamoja kama mchezaji kujua na kutambua majukumu yake.
Bartez kufungwa magoli machache inawezekana mpira ulikua aumfikii mara kwa mara kutokana na kazi pevu inayokua imefanywa na mabeki, sasa unategemea apewe zawadi bila kufanya kazi,...; Kipa wa Mtibwa inawezekana alifanya vyema kuokoa michomo ya hatari ambayo Bartez na Kaseja hawakukutana nayo.
Sure Boy wa Azam sioni kama wamempendelea kumpa zawadi ya Mchezaji bora chipukizi, kazi anayoifanya Azam na kwenye kikosi cha Taifa Staz si ndogo ukilinganisha na umri wake.
Amri Kiemba, zawadi aliyopata anastahili kabisa; atupaswi kutafuta vigezo vya mbali na hisi anaweza kuingia ata kwenye kinyanganyilo cha mchezaji bora wa Afrika mashariki bila mashaka yoyote.
Kuhusu Kocha bora: anapimwa kulingana na aina ya wachezaji anaokua nao na ni mafanikio yapi ameyapata kutokana na wachezaji hao: sasa ulitaka Brandts pamoja na pesa za Manji za kununua wachezaji wa bei ghali tena ma-professional ndo awe Kocha bora!!!! ameifanyia nini timu cha maana; ile timu ya Yanga kwa jinsi ilivyokua ata kama angekabiziwa Madega au Nsajigwa kama Chief Coach ingechukua Ubingwa.
Ni mtazamo tu kaka usitie sana shaka, lakini usije kushangaa ukawa ndo uhalisia wenyewe huo, vigezo nilivyoainisha kwenye mchango wa kwanza ndo Determination ya kuwapata walio BORA mtani.Uache ushabiki na kuumauma maneno mtani.....Just call a spade a spade ... not a big spoon...
Tuzo za SPUTANZA ni aina ya ubabaishaji mwingine katika soka la Tanzania mkuu.....Inawezekana lengo la SPUTANZA lilikuwa ni kutoa tuzo kwa wachezaji na makocha raia wa Tanzania tu lakini si kwa ubora katika uchezaji wala ukocha.....
Ni ajabu kumpa tuzo Amri Kiemba na kumuacha Kipre Tchetche wa Azam.....
Ni ajabu kumpa Tuzo Amri Kiemba na kumuacha Haruna Niyonzima wa Yanga....Ni ajabu sana kumpa Tuzo Salum Abubakary na kumuacha kiungo chipukizi wa Yanga na Stars Frank Domayo.....
Ni ajabu kumpa tuzo ya ukocha bora Meky Mexime wa Mtibwa na kuwaacha Stewart Hall wa Azam, Patrick Liehwig wa Simba (aliyejikita katika kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi na kuifanya Simba iwe tishio dakika za lala salama) na Ernie Brandts wa Yanga.....
Ni ajabu zaidi kumpa Tuzo ya kipa bora Hussein Sharif wa Mtibwa na kumuacha Ally Mustapha wa Yanga aliyefungwa magoli machache kuliko wote katika Ligi Kuu.....
Kwa ujumla Tuzo hizi za SPUTANZA zimejaa maajabu ya aina yake ambayo kwa Tanzania ninaona ni kitu cha kwaida tu.....
Nilitegemea Tuzo hizi zingekuwa chahcu ya kutoaq changamoto kwa wachezaji wetu wa Kitanzania kuiga aina ya uchezaji na ufundishaji wa wachezaji na makocha wa kigeni ambao tukiri tu kwamba baadhi yao wamewazidi sana wachezaji na makocha wetu....
Ni mtazamo tu kaka usitie sana shaka, lakini usije kushangaa ukawa ndo uhalisia wenyewe huo, vigezo nilivyoainisha kwenye mchango wa kwanza ndo Determination ya kuwapata walio BORA mtani.
kazi kwelikweliNi mtazamo tu kaka usitie sana shaka, lakini usije kushangaa ukawa ndo uhalisia wenyewe huo, vigezo nilivyoainisha kwenye mchango wa kwanza ndo Determination ya kuwapata walio BORA mtani.
Dont limit your scope in thinking comredy: timu kuwa nafasi ya 3 si kwamba haiwezi kutoa mchezaji bora: ingekua ndo hivyo basi wapenda michezo hasa soka wa England wangeandamana Garet BALE alipochaguliwa kuwa mchezaji BORA wakati timu yake ya TOTTENAMU inashikilia nafasi ya 5.Mchezaji bora wa nchi anatoka kwenye timu iliyoshika nafasi ya 3?
Hata kama hiyo ni sawa Amri amefunga magoli mangapi?
Mchango wake kwa mwaka huu ni upi hadi jamaa akawa mchezaji bora?
Maajabu kabisa!
.......na hicho ni kigezo kimojawapo katika kuhalalisha UBORA wake; sasa wanaotaka Niyonzima, Kipre Tchetche au Kavumbagu sijui wanataka tuamini kuwa wachezaji hao wanamchango mkubwa kwenye timu zao za Taifa?Naamini kama Amri Kiemba asingefunga magoli mechi mbili za mwisho za Taifa Stars asinechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu msimu uliopita!Ni mwendelezo wa ubabaishaji wa watu walewale wenye akili zilezile wakija na jina zuri masikioni la 'watu wa soka'