[emoji120] NamasteHabari Ndugu zangu,
Naweka hii mada kuendeleza mjadala wa Science ya roho Ntaeleza kwa Ufupi maana ya Roho.
Roho ni kitu kisichoonekana ila kipo Ndani yetu .Roho ina nguvu sana na matokeo tunayopata Ya nje yani physcial ni matokeo ya utendaji wa roho.Chochote kinaweza fanikiwa kama nguvu ya roho itatumika ipasavyo Tambua roho ni Mungu na Mungu ni omniscient, omnipresent na omnipotent Mwanadamu kama Kiumbe anasehemu mbili mwili na roho ivo mwanadamu huyu kwa vile ana roho ina maana ana Uungu ndani yake ambao unaweza kumfanya awe na Sifa Zote kabisa tunazosikia katika Miungu ya jamii tofauti kama ndugu zetu muslim,Buddha, Christian na Makundi mengine .Elimu ya kiroho inategemeana sana jamii hadi jamii ni kama ilivyo technology inategemeana kuna makundi machache yako imara kiroho na yana ficha maarifa haya kwa malengo yao, karibu mwana jamvi tuzidi kushare knowledge kuwa huru Tujifunze ukweli
Kwasababu haipoBonesmen said:Kwanini unasema hakuna Roho?
Hakuna Mungu!Mungu aliyopo ni yupi?
Mungu yupo ila kwa imani yako ww huamini kama yupo na wala hakuna haja ya kulazimisha watu waamini km unavyoamini wewe..!Kwasababu haipo
Kama unadhani Roho ipo thibitisha
Pia tupe tafsiri ya neno roho.
Hakuna Mungu!
Mungu yupo ila kwa imani yako ww huamini kama yupo na wala hakuna haja ya kulazimisha watu waamini km unavyoamini wewe..!
Sawa tu. Hata mjinga hubisha ujinga wake mwenyewe. Hakuna roho.!!!!Kwasababu haipo
Kama unadhani Roho ipo thibitisha
Pia tupe tafsiri ya neno roho.
Hakuna Mungu!
Unaamini uwepo wa mawazo?
einstein newton [emoji48]Wewe unaamini?
Ndio yapo Na hakuna methods ya physical ya kuprove uwepo wake but yapo
Science haijawa enough kuthibitisha uwepo wa Vitu hivyo but vipo science ina deal na observable things. Roho na mwili ni kweli vinatengana Na ndio mauti yenyewe hayoKama kitu chenyewe siyo testable umejuaje kama kipo?
Utajuaje kitu kipo wakati huwezi kuthibitisha uwepo wake?
Roho na mwili vinaweza kutengamana?
Science haijawa enough kuthibitisha uwepo wa Vitu hivyo but vipo science ina deal na observable things. Roho na mwili ni kweli vinatengana Na ndio mauti yenyewe hayo