Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
so you are daring challenging me in my game? hapo naona nguo tu ila ngoja nizishushe halafu nizipitishe kwenye kichujio ntajua tofauti zoooteMshindi atapata zawadi ya kwenda kula dinner nami jioni ya leo...Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Original
Edited
Graphics Designed By: Young Master
Copyright © Young Master, 2012. All rights reserved.
La pili toka kushoto rangi ya nguo green tofauti na original ambayo ni blue...........................
are you kidding bro ??? am i a color blind ??????
Mi nilidhani nishajipatia dinner.......................:A S cry:...................ngoja niendelee kutafutaThere is more my dear.
Mi nilidhani nishajipatia dinner.......................:A S cry:...................ngoja niendelee kutafuta
There is more my dear.
kwanza kubadilika kwa rangi ya mavazi ya sanamu la 3 na 4 kutoka kulia.. pia kwenye sanamu la 3 kutoka kulia(lakatikati) orijo yake haikuwa na nakivuli but hiyo edited ina kivuli cha kijani( haswa kwenye upande wa kushoto kwakwe)
hope umenielewa Young Master!!!!