SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Maana anaongea kama mtu aliyevurugwa then mashabiki wanamshangilia kama mazuzu wameanza kupoteana ndo wanagundua aliwadanganya kuwaambia wanakikosi kipana
Hahaaaa. Mie najiona wanaomfuatilia sana yule jamaa lazima itakuwa wanapresha za kupanda na kushuka. 😃😃😃😃
 
Snipes usijifanye huu uzi hujauona bana Ulisema mkiwa kwa mchina huwa mnafanyaje vile? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom