Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Yaani hizi ni zaidi ya njema Broo. Nimejikuta nawawazia wale mashabiki wa Mikia ile saa mpira umekwisha walivyokuwa kama wamechomelewa misumari. 😀😀 kunyanyuka walishindwa aisee.
Yaani hizi ni zaidi ya njema Broo. Nimejikuta nawawazia wale mashabiki wa Mikia ile saa mpira umekwisha walivyokuwa kama wamechomelewa misumari. 😀😀 kunyanyuka walishindwa aisee.
😃😃😃😃 ndoto zao zimeyeyuka maana walishapiga mahesabu washacheza na Everton mpaka kumfunga wameshamfunga. 😃😃Leo hutawaona humu.
😃😃😃 nacheka sana kwa comment zako Mtani
Hahahaaaaa.Injinia ngapi huko,
Tuuupooo. 💃💃💃💃💃Wazeee wa bandariiiii mpoooooo.....
Hahahaaa. Pole kwa kipigo banaaa.Haya majira ndiyo leo nayaona
😆😆😆😆😆😆😆
Hivi upo Mtani?
Nilikuwa nakuwaza Mdogo wangu nilitaka nikutag hapa kumbe ulishaandikaSimba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
Nakazia.
Hahahaaa. Kabisaaaaa.
HHAHAHAAAAAAAA. NA MIE NILITAKA KUSHANGAA KAKA.TANGU LINI SIMBA AKAMUDU KAZI ZA BANDARI? HAHAHAH WAUEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hahahaaaa. LOL.Hivi simba tukikutana na kariobang kwenye kutafuta mshindi wa tatu, Yanga mtaishangilia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makaburi yameanza. 😃😃😃
UKWELI MCHUNGU HUU. 😃😃😃Mapinduzi cup kikosi cha Pili kilipigwa
Kinshasa kikosi cha kwanza kilipigwa 5
Leo kikosi mixer ,kimepigwa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaachajwe kwa mfano. 💃💃💃Tupeni matokeo,mikia hawajapigwa tu?
Chalii tungange ya Al Ahaly sasa. 😜😜😜Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.
Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?
Wamefanya kama wa Kimataifa wenye kikosi kipana.Simba bana, kwa hiyo ndo nini wamefanya?