Sports Personality images of 2008 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sports Personality images of 2008

Discussion in 'Sports' started by Kibunango, Dec 25, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Na ni kwa mtazamo wangu tu...
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,277
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  huyo robinho hakustahili kuwekwa hapo atleast ungemweka ronaldo ningekuelewa waongelea mwana mpira cz for dis yr he has achieved alot of things in sector ya mpira wa miguu ukilinganisha na huyo robinho...timu ina hela na kila kitu but iko almost mkiani mwa ligi
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  ^^ Yupo hapo kwa sababu kwa mwaka huu ndie mchezaji aliyenunuliwa kwa pesa nyingi katika Premier League.
   
 4. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Kibunango Tunakujua we Gunners,huyo Robinho hajakaa hata miezi 4 England na timu yake iko mkiani mwa ligi
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Yes Indeed! Gunners for life. Hapa nilikuwa najaribu kuwa General tu katika ulimwengu wa sporty :D
   
 6. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe somehow even though huyo Robinho kama alivyosema Mtaalam didnt deserve to be there, mbali na kuto fanya anything substantial kwa timu yake till to date pia hata uhamisho wake sidhani kama uli-draw attention ya Media kivile sana..

  Nevertheless Ronaldo nadhani worth to be there as well, mengi ameyafanya kwa timu yake includ. kuwa draw attention kubwa ya Media Ulaya mwaka huu unless otherwise hatuwezi kukupinga moja kwa moja as much as at the end of the day huo NI MTIZAMO WAKO!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...