SportPesa to sponsor Formula one team

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,658
2,000
car_pix.jpg

Betting firm SportPesa has unveiled its latest sponsorship deal; an estimated multi-billion shilling arrangement with Formula1 team Racing Point. PHOTO | SPORTPESA |


Betting firm SportPesa has unveiled its latest sponsorship deal; an estimated multi-billion shilling arrangement with Formula1 team Racing Point, which will now be referred to as the SportPesa Racing Point Formula 1.
As per details of this deal which is expected to last three years, Spanish ace Sergio Perez and Lanze Stroll will be at the cockpits of the cars belonging to the new outfit.
"SportPesa are a young dynamic, growing company whose values align with our own vision to become a team capable of competing at the very front of the grid," said Otmar Szafnauer, Team Principal and CEO of SportPesa Racing Point.
Formula One is a popular annual motor-racing competition involving the highest class of single-seater sanctioned by the Federation International de Automobile. The results of each race are evaluated using a points system to determine two annual World Championships.
SportPesa Company Director Adam Beighton added: "Equally important is the platform it provides us which enables us to say true to our mission; to build and develop grassroots and professional sport in the countries where we operate by bringing new opportunities to local communities."
This deal elevates the Kenyan based gaming firm onto the same platform with some renowned firms as Johhnie Walker, Heineken, Rolex, Shell, Mercedes and Red Bull, which have extensive interests in Formula One.
Separately, SportPesa enjoys sponsorship deals with English sides Everton and Hull City, Kenyan teams Gor Mahia and AFC Leopards, Tanzanian clubs Simba and Yanga, plus Cape Town City and Torino which ply their trade in South Africa and Italy top flight leagues respectivelySportPesa ventures into Formula One
 

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,685
2,000
Walete F1 Nairoberry hata sisi tuhudhurie na tuwe na Mkenya anapeperusha Bendera yetu kama ilivyo desturi yani tupo kila nyanja hadi wimbo wetu wa Taifa uibiwe na wazungu.
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,129
2,000
I am not biased lakini hii habari ya betting ni bomu kubwa kwa Kenya na Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja yako. Hizi habari za uwekezaji wa kampuni za Kenya nje ya bara hili ni habari nzuri ila betting hapa E.A. ni bomu ambalo litakuja kulipuka na litaleta madhara chungu nzima. Kisa ni ukosefu wa 'control' ya maana, kama inavostahili kutoka kwa serikali zetu na mashirika husika.
 

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,806
2,000
Naunga mkono hoja yako. Hizi habari za uwekezaji wa kampuni za Kenya nje ya bara hili ni habari nzuri ila betting hapa E.A. ni bomu ambalo litakuja kulipuka na litaleta madhara chungu nzima. Kisa ni ukosefu wa 'control' ya maana kama inavostahili kutoka kwa serikali zetu na mashirika husika.
Kabisa.
Maelfu ya Vijana wanatoa hata kile kidogo walichonacho kwa matarajio ya kupata mamilioni.

Halafu sehemu ya fedha hizo inaenda nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,435
2,000
Nimesoma wanako fadhili hawa portpesa hatari tupu In 2016, SportPesa won the Best African Sponsorship Award at the Discovery Sports Industry Awards (DSIA). In 2017, was recognized as a uperbrand, placed 13th in the ranking of the best companies in Kenya Hongereni sana Wakenye
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,129
2,000
Kabisa.
Maelfu ya Vijana wanatoa hata kile kidogo walichonacho kwa matarajio ya kupata mamilioni.

Halafu sehemu ya fedha hizo inaenda nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni kama Sportpesa inamilikiwa na wazawa wa hapa hapa Kenya na wanalipa kodi Kenya(35% ya 'earnings' zao kulingana na sheria za kodi kwa kampuni za betting) kwahivyo hela zinarudi Kenya, na tena wana'sponsor' ligi zetu na timu zetu. Ila mengi zaidi yangefanywa na BCLB(Betting Control and Licencing Board) kuwakinga wale ambao wamenaswa na hili jinamizi la kubet. Kwa maoni yangu wanafaa wabanwe kwenye mbinu wanazotumia kujitangaza, kama tu sigara na pombe. Sio wanakubaliwa kujitangaza kwenye Tv. na sehemu zote zile sawa tu na bidhaa zingine kama vyakula na vinywaji vya kawaida. Hili jambo huwa linanikera mno, yaani wanawahadaa watu kwamba kuna pesa za haraka na rahisi, tufanye kazi kwa nguvu bana. Its the only way to make it!
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,129
2,000
Hayo magari yatapita wapi.. au lilo kopo lenu la rangi nyekundu bado halija isha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, F1 racing huwa inafanywa kwenye sehemu maalum, sio kama Safari Rally. Vitu kama hivyo vinaweza vikatengenezwa hata huku E.A., iwe Kenya Uganda, Tz haijalishi. Think about it, ni fursa nzuri sana ya kuvutia watalii, na wawekezaji pia.
 

thisdayes

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,567
2,000
Boss, F1 racing huwa inafanywa kwenye sehemu maalum, sio kama Safari Rally. Vitu kama hivyo vinaweza vikatengenezwa hata huku E.A., iwe Kenya Uganda, Tz haijalishi. Think about it, ni fursa nzuri sana ya kuvutia watalii, na wawekezaji pia.
Hilo nalijua msee, najua Kenya hamna racing track yaku host mashindano ya F1 ndiyo maana nika mshangaa mwasiti anavyo sema F1 ije Kenya kwakua Sportpesa ame sponsor team. Uwe unamweka sawa mwenzako ana ropoka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,129
2,000
Hilo nalijua msee, najua Kenya hamna racing track yaku host mashindano ya F1 ndiyo maana nika mshangaa mwasiti anavyo sema F1 ije Kenya kwakua Sportpesa ame sponsor team. Uwe unamweka sawa mwenzako ana ropoka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kosa lake hapo ni lipi jombaa? Kuitakia nchi yake mema? Uzalendo kwa nchi yake? Aiseee, big up mwaswast, the black, red, green and white, forever!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom