Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,077
- 122,414
Kama nyie tu. Nimeona uzi wa jana kucheza na Sharks mwanzo mwisho mmejazana nguvu moja.
Hivyo wacheni tu na leo niwafuatilie. 😎😎
Kama nyie tu. Nimeona uzi wa jana kucheza na Sharks mwanzo mwisho mmejazana nguvu moja.
Me nilisafiriKama nyie tu. Nimeona uzi wa jana kucheza na Sharks mwanzo mwisho mmejazana nguvu moja.
Hivyo wacheni tu na leo niwafuatilie.![]()
🙈🙈🙈 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Sawa.
karibu kwenye show za kibabeKwa ulivyoibuka leo mtashinda aiseee.
😀😀😀😀 nshatulia hapa. Sema mida ya kukaa humu ishakwisha ntarudi kesho. 😀😀😀
😀😀😀 naisubiria hapa na mie niionekaribu kwenye show za kibabe
Tusubiri tuone Mtani. Hivyo mtapata kipozeo cha kumsahau Mkongo. 😀😀😀 Duuhh.
sijui kama haitakuangusha hiyo mnyama yako Dada.
![]()




Dada ebu acha uchawi bado mapema sana
Wewe tenaKila la kheri Leopards.![]()
Bora uendenshatulia hapa. Sema mida ya kukaa humu ishakwisha ntarudi kesho.
KILA LA KHERI FC LEOPARDS![]()
nshatulia hapa. Sema mida ya kukaa humu ishakwisha ntarudi kesho.
KILA LA KHERI FC LEOPARDS![]()



Uje alfajiri kutusumbua kama kawaida yako