Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,726
Wacha walete kikosi cha pili, wakifungwa wasitafute visingizio...I hpe wataleta kikosi cha kwanza...hawa waingereza wana tabia mbaya ya kuleta team B kuchuana na timu za kiafrika...
fair enoughWacha walete kikosi cha pili, wakifungwa wasitafute visingizio...
I hpe wataleta kikosi cha kwanza...hawa waingereza wana tabia mbaya ya kuleta team B kuchuana na timu za kiafrika...
Hata hizi timu za Kenya kuna vigogo kadhaa walikuwa Serra Leon kwa timu ya taifa Harambe starshata hvo simba sc na yanga sc walidharau sana haya mashandano, walichezesha timu B, na wacheji wa majaribio.
Mara nyingi huwa ni kutuondoshea aibu ya kuchabangwa mabao ishini mtungi!
Juzi ile siku Kenya wamecheza na Hull, unaona wangetia kikosi A tungenyukwa mabao sio chini ya thelathini.
Kudumisha urafiki kheri walete kikosi C
Siku-dharau walikua wameenda kuchezea national team same to Tusker,Gor na AFC leopardshata hvo simba sc na yanga sc walidharau sana haya mashandano, walichezesha timu B, na wacheji wa majaribio.
K'ogalo yuko vizuri...Walete team B hao everton waone watakavyo nyoroshwa na k'ogalo