Sponsor's wanavyowanyima uhuru wadada

Bata za muda mfupi ila kama una akili unafanya mambo ya maendeleo kimya kimyaa siku akikuacha unaendelea tu bila yeye.
Wadada wanapenda umjinimjin photoshoot kila mara kusafiri,kuvaa kila aina ya nguo hawapitwi fashion,pombe,wanajua uzuri hauishi.
Kuna matajiri kadhaa wanachowafanyia watoto wa kike mpaka shetan anashangaa sijui ni masharti ya utajiri wao ,wadada wanapigwa 3some za kutosha na marinda yanapigwa pasi daily na wadada wanaendelea ili kulinda stastus za maisha ya insta na kusafiri ,maisha ya muda mfupi tu,sponsor akichoka anahamia kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…