Sponsor wa kipindi kipya cha tv

Sponsor wa kipindi kipya cha tv

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Wana Jukwaa nawasalimu,
Kuna ndugu yangu ameandaa kipindi kipya cha Runinga(TV), kaniomba nimsaidie kutafuta sponsor, kama wewe unahusika au unaweza kusaidia, naomba tuwasiliane. Kila mwenye kufanikisha atapewa commission yake. Ni kipindi cha kipya, kizuri.
 
naomba niwe mtangazaji wa hicho kipindi pindi kitakappoanza
 
Back
Top Bottom