Nilisoma kitabu kimoja cha abunuwasi kinasema hii me mama ya mitepwa tepwa huwa wanawapenda vijana wa kiswahili hasa wale ambao hawana mbele wala nyuma na kuwachukuwa majumbani mwao na kuwageuza waumee zao na hapo tena huyo kijana wa kibantu basi hujiona kisha ween kumbe ni upogo tu wa njaa