Ya kwanza ina lt 3.0 flash na xk3y kusudi itumie hdd alafu bado inakua xbox live safe.. and the second ina lt 3.0 only kwaiyo bado inabidi itumie discs
xk3y ulinunua hapa bongo nataka moja. nina lt 3.0 machin na moja ya jtag nataka jtag au xk3y
Xk3y nimeagiza. kama unataka jtag nafahamu mtu ambaye anafanya kwa job nikupe contact yake. Naomba unitume site unayoitumiaga kwa links kaka
Splinter Cell Konviction ndo ilikuwa game yangu ya kwanza kucheza kwenye Xbox kwa ndugu yangu mmoja hivi. game ilinivutia sana maana walikuwa wamebadilisha mfumo .waliocheza vitu kama Chaos Theory na Pandora Tommorow kwa PS2 watakwambia kuwa Sam Fisher alikuwa anatakiwa abaki kwenye shadows muda mwingi (stealth game) ambayo kwangu huwa siwezi kunyata nyata. ila kuanzia Konviction, naona Ubisoft walileta a more engaging game.
Game ipo out already, utaicheza kwa platform ipi??