Splinter Cell Blacklist

Splinter Cell Blacklist

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376

Splinter Cell Konviction ndo ilikuwa game yangu ya kwanza kucheza kwenye Xbox kwa ndugu yangu mmoja hivi. game ilinivutia sana maana walikuwa wamebadilisha mfumo .waliocheza vitu kama Chaos Theory na Pandora Tommorow kwa PS2 watakwambia kuwa Sam Fisher alikuwa anatakiwa abaki kwenye shadows muda mwingi (stealth game) ambayo kwangu huwa siwezi kunyata nyata. ila kuanzia Konviction, naona Ubisoft walileta a more engaging game.

Game ipo out already, utaicheza kwa platform ipi??
 
Last edited by a moderator:
haha. acha tu kaka C6 maana nina kama 700GB za games za kushusha nitakuwa hewani niaje
 
Last edited by a moderator:
mkuu ungeweka direct downloading link kuna watu hawapendi shida hata kidogo ya kugoogle
 
basi mkuu nimechanganya madesa i thought it was a pc version

ipo out on Xbox 360, PS3 na PC, ila nipo kwa Xbox zaidi. kama unatumia torrents niambie nikupe ambayo ina private trackers (faster speeds)
 
nipo braza Young Master. niliona lile swali ulinoniuliza kuhusu types za Xbox na ipi nzuri, ila sijaweza kujibu maana nipo on proxy (free) internet na inasumbua kuweka paragraphs na quotes na kadhalika. ni kama kutumia simu ya torch kubrowse. ila siwezi lalamika maana hapa nilipo nashilikilia 700kB/s.
 
ha ha haaa!!! Haya bwana. Naona kama unachelewesha majibu mkuu. Nasubiria majibu kutoka kwako kwa hamu kubwa ili nianze kujipanga.
 
ok kaka. MSN wametoa aina tatu za Xbox (kuna ya nne ila bado haipiga hata mwezi sokoni na sijaigusa sositaiongelea). toleo ya kwanza inaitwa Phat version maana ilikuwa kubwa mno. utaijua maana ina HDD ndogo kama 20GB, 40GB au haina kabisa. toleo la pili ilikuwa inaitwa Elite. hii ni ndogo na huja na 120GB only. la tatu ni slim au Xbox S. hizi zinakuja aina mbili. ya 250 GB na 4GB. kati ya hizi tatu, Phat ni kimeo na rahisi kupata RROD yaani overheating na Slim ina posibility ndogo sana la kufanya hivyo. kuna fans zinauzwa za kusaidia kuprevent the overheating issue. Xbox zote zina uwezekano wa kuflash DVD (ila sio zote sawa, kuna zingine ngumu na zingine rahisi maana MSN wanatumia DVD Drives tofauti tofauti). kuna kitu kinaitwa JTAG au RGH. kuflash DVD Drive inaamanisha unaitoa region lock, yaani kama ilikuwa icheze NTSC games tu au PAL, unaweza kucheza any na hata za kuburn nyumbani. pia kuna JTAG na RGH hii ni jinsi ya kufanya Xbox yako ikubali kuweka games kwa HDD (yaani hamna haja ya DVD tena) na pia unaweza ongeza apps za washikaji (homebrew). lastly kuna ODDE (Optical Disc Drive Emulator). hii ni chip inawekwa kwa Xbox inafanya mashine ijue kuna CD ndani kila saa na hivi basi unaweka games zako kwa external HDD na kucheza. Xbox zote zinakubali method hizi tatu ila kuna Slims zinasumbua so the best ni Elite haswa Jasper. Jasper ni jina la code kueleza walitumia motherboard ipi kwa Xbox. kuna jinsi ya kujua Xbox ina motherboard ipi. na hii ni kwa kuangalia pale nyuma kwa power cable. nitakueleza vizuri hili nikiwa na net ya ukweli ili nikupachikie picha. kati ya methods tatu, flashing DVD Drive ndo the easiest, RGH ndo the best but hardest na ODDE ni ghali. nitaongeza mengine baadaye lakini jibu la haraka haraka mkuu ni kama unataka Xbox, tafuta elite Jasper
 
ipo out on Xbox 360, PS3 na PC, ila nipo kwa Xbox zaidi. kama unatumia torrents niambie nikupe ambayo ina private trackers (faster speeds)

mkuu hembu tusaidie hyo ya private trackers s umexema ina speed kubwa na niya Pc
 
ipo out on Xbox 360, PS3 na PC, ila nipo kwa Xbox zaidi. kama unatumia torrents niambie nikupe ambayo ina private trackers (faster speeds)

yah natumia torrents mkuu nipe mambo!!!
 
haha. acha tu kaka C6 maana nina kama 700GB za games za kushusha nitakuwa hewani niaje

Aise bwana leh upo live? Mimi nipo live sema inakuaga shida kuconnect na watu wengine tz kwajili ya strict nat which navyofahamu ukitumia hizi modem hauwezi kuizunguka bila isp kuitoa. Nina xbox 360 elite LT 3.0 flashed na xk3y chip iso kama 600gb. Kama kuna maujanja ya kuconnect tusaidiane wadau
 
sipo live kaka, hii mitandao ya kibongo hainuruhusu. niuzie basi mashine yako :biggrin: maana nataka ya pili
 
sipo live kaka, hii mitandao ya kibongo hainuruhusu. niuzie basi mashine yako :biggrin: maana nataka ya pili

Haha siwezi kaka mwenyewe naazo mbili nafanyia sytem link. Nikipata nyingine nitakushtua..
 
Unafanya nini kupata direct links?? Unazilipia?

sorry for late reply, PC yangu inazingua. anyway, yeah, nalipia direct links. xbox zako zimefanyiwa mod gani?
 
sorry for late reply, PC yangu inazingua. anyway, yeah, nalipia direct links. xbox zako zimefanyiwa mod gani?

Ya kwanza ina lt 3.0 flash na xk3y kusudi itumie hdd alafu bado inakua xbox live safe.. and the second ina lt 3.0 only kwaiyo bado inabidi itumie discs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom