Spiritualy, labda ni kweli hii kitu inatenda kazi kwa Rc wetu

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Watumishi wa Mungu aliye hai huwa wana msemo wanautumia hasa wakiudhiwa
"Usicheze na masihi wa BWANA"

Nakumbuka kuna bifu kali kati ya RC mpendwa na masihi wa BWANA.
Ila nakumbuka masihi wa Bwana alitoa maneno makali Sana kibiblia yanaitwa LAANA.
Najaribu kuwaza tu,kwamba it was a matter of time to manifest that curse or is just coincidence?
 
Miaka mitano bado yupo anadunda! Na miaka mitano mingine JPM atamuongezea iwe kumi!
 
Masihi wa Bwana huwa habishani na kuddhalilishana na wanasiasa kama Yule. Wao huwa kimya na kutoa tamko moja tu.

Pia Mungu anasema nitawalaani watakaokulaani sio nitawalaani utakaowalaani.

Makonda anamatatizo yake asaidiwe ila asihusishwe na huyo jamaa anayejiita mtumishi.
 
Shida ww umefungwa katika udhehebu ,unafikr usabato ndio dhehebu pekee la kweli hata usiwaamini na wengine
 
Shida ww umefungwa katika udhehebu ,unafikr usabato ndio dhehebu pekee la kweli hata usiwaamini na wengine
Nimetoa facts za bibilia kuhusu laana. Ulipaswa ujibu hizo na sio usabato wangu au mwelekeo wangu wa Imani.

Hivi ni lini nchi hii tutaanza kujibishana Kwa hoja?
 
Nimetoa facts za bibilia kuhusu laana. Ulipaswa ujibu hizo na sio usabato wangu au mwelekeo wangu wa Imani.

Hivi ni lini nchi hii tutaanza kujibishana Kwa hoja?

Wewe ndio huna hoja,andiko gani la biblia umeweka hapo
 
Wewe ndio huna hoja,andiko gani la biblia umeweka hapo
Kasome upya.
Bibilia asili ilikuwa haina vifungu so niliposema Mungu Kasema ndio andiko ukalitafute kwenye Bibilia.

Nitawalaani watakaokulaani
Sio Nitawalaani utakaowalaani
Kulaani ni kazi yya Mungu sio Watumishi wake.

Kuna katabia ka watumishi siku hizi kumpora Mungu madaraka ili wapate cheap popularity.

Ugomvi wa Makonda na huyo mtumishi hauna elements za laana Kwa sababu wote walikuwa wanakosea. Hasa mtumishi ndiye alikuwa anzmshambulia mtu wa serikali kupitia madhabahu (an act that cannot be endorsed by God).

Angetumia mathayo 18 akamuone waongee nje yya kamera maana ni mlokole mwenzake (ndugu yake wa Imani).

Tusishabikie bila kufikiri na kutafakari Kwa vina
 
"Ole wake amtegemeae mwanadamu"

Swali..

Mwajiri wako Ni nani?
Kiongozi wako Ni nani?
Mwalimu wako Ni nani?
Ukiugua unatibiwa na nani?
Nani anaekuhubiria hayo maneno??
 
Back
Top Bottom