Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameomba familia ya marehemu Jenista Mhagama kuendelea kuwa wamoja, kushikamana na kuepuka kusikiliza maneno yoyote ya kuwagawa, akisisitiza umuhimu wa upendo na mshikamano katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Zungu ametoa kauli hiyo leo Desemba 13, 2025 wakati wa Ibada ya Misa ya Kuuaga Mwili wa marehemu Jenista Mhagama iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma.