Spika wa Bunge Mh Job Ndugai anauliza Bashite ni Nani? Yeye Hamjui

Katika vikao vya Bunge vinavyoendele Spika anasikia ktk michango ya baadhi ya waheshimiwa Wabunge kuhusu jina la Bashite.

Anaulize huyo Bashite ni nani maana hajawahi kiongozi yoyote mwenye hilo jina?
Ni Nani?
 
Asijifanye mjinga kwenye maswala ya msingi. Ina maana Bashite toka aanze kuzungumziwa hajawwahi kumsikia?. Huu ni ujinga mwingine katika level za kinafiki. Huyu ni speaker pekee nadhani ataacha legacy mbaya sana.
Hajui Bashite ni nani!!
 
Kumbe hadi baadhi ya wabunge ni wakurupukaji wapenda sifa. Wanaacha kujadili masuala muhimu wamekalia porojo za kumtaja taja asie wahusu wakubali ukweli Rais wa dar kawazidi maarifa
Kila mtu ni mihemko tu mpaka bungeni .
 
Back
Top Bottom