Spika Tulia apiga 'stop' agizo DC Mbeya

Ni jinsi maamuzi yanavyofanyika ndicho kinachoshangaza sana. Hivi kweli kabla ya DC msomi kuwatanganzia wananchi maamuzi kama hayo, hawezi kwanza kuwasiliana pia na Mbunge wao, wa chama hicho hicho kilichomteua? Na cha pili kwanini kusiwe na vikao vya kuhamasishana na kuelimishana na kupatikana mpango wa kupata eneo mbadala watakapohamia hao wakulima? Yaani unawaambia tu watu"wanaolima mahali miaka 60 Odokeni? wakikuuliza tuende wapi unawaambia je?
 
Yaani mkuu wa wilaya ananywea eti 'mheshimiwa spika' yaani issue ipo mikononi mwako kama kiongozi wa wilaya alafu mtu mwingine mbunge anakushusha daaa, hii siasa ya bongo!.
Sauti ya mbunge ni sauti ya wananchi. Na wananchi ndiyo waajiri wa hao ma DC, ma RC nk. So DC alikuwa akiongea na bosi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…