Kama mgeni akija ghafla hapa nchini akasikia vitu wanavyoongea hawa ambao ndio watunga Sera na wenye wajibu wa kuhakikisha wanawatoa wananchi wao kwenye misery...; Anaweza kudhani mambo ya maana yote yameshughulikiwa (issues) na sasa tuna muda wa kutumia rasilimali muda kwenye non issues (blah, blah, blah)