Spika Ndugai wengi tunajiuliza kama kweli una nia njema ama nia isiyojulikana. Hivi kweli huoni kabisa?

Ndugui ni stomach defender

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai alidhania kumg'oa CAG ni kama kumvua ubunge Nasari. Watu wote wenye mapenzi mema na mustakabali wa nchi yetu wanajua kuna kitu nyuma ya pazia - kinachofichwa wananchi wasijue ni nini? Tunamsihi sana sana CAG aangalie maslahi ya taifa letu na asikubali vitisho vya Ndugai bali aendelee kuchapa kazi hadi kipindi chake cha utumishi kitakapo isha, historia itamkumbuka.
 

Mwenza nae juzi kapewa uDED...
 
Absolutely true

Lakini process ya kumtumbua CAG. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ndiyo imemshinda

Yeye alidhani kuwa CAG atamtumbua kirahisi kama afanyavyo kwa wateule wake wengine??
Jiwe linapata moto kweli ,walivyopanga na Ndugai kumfrustrate ajiuzulu mwenyewe wameshindwa mpaka Ndugai anasema ,eti CAG anampa shida rais yeye ameyajuaje haya kama hawajaongea naye na kuyapanga .
 

Nakuelewa sana, kinachonisikitisha ni vijana wa lumumba kuwa against Prof. Mussa Assad, yani huo ni ujinga uliozidi kipimo cha ujinga, huwezi kuwa against na mtu anayesaidia kufichua wizi wa kodi yako dhidi ya mtu anayempiga vita kwa hoja zisizo na mashiko. shame!
 
Huyu baba anaumwaaaaaa jamani. Labda tumsamehe tu. Eti tutamuonyesha. Wewe kama nani Bwana kifimbo cheza???!! Mungu atakuonyesha wewe kabla ya kuonyeshwa wenzako wooote unaoshirikiana nao katika hili. Hufungi macho wewe bila kuyaona ya dunia. #westandwithCAG.
 
Leo umepata wapi akili ?! Makubwa madogo yanafurahisha sana. Mmekuwa mkuwasifu kwa nyimbo na vinubi leo umeona nini ?!. Hivi ndivyo wanavyofanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasi yote sasa hivi ukiingia ndani unakuta vikaratasi vimebandikwa vikikusihii wewe abiria kupaza sauti pindi mwendo wa dereva unapokuwa wa hovyo. By the way, mwisho wa siku utakae kufa ni wewe na wala si trafiki.
Mfano gani huu!. Usimamizi wowote rasmi lazima utakuwa na muongozo(guidelines). Wapi unapanda basi na ukapewa muongozo wa kazi ya kumsimamia dereva?
 
Ndugai analiaibisha bunge na hii inadhihirisha kuwa bunge in dhaifu na limeshindwa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa. Kamati ya maadili haina maadili wala maamuzi guru, ni rubber stamp ya ndugai. Poleni watanzania
 
Ok well paid troll and agent wa jiwe kichaa, working very hard to disassociate jiwe na sakata la CAG, fyi speaker ameshasema jiwe ndiye anayepata tabu sana na CAG, so jiongezeni kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya spika na cag imetosha sasa tufikirie ishu nyingine khaa! Kila SAA mada mpya jambo hilohilo
 
Sasa mkuu kwanini huko Lumumba kikao mlichokaa jana pale dodoma msije na azimio la kumshinikiza spika ajiuzuru na awaombe msamaha wapiga kura wake kwa ujinga alioufanya na anaoendelea kuufanya..
Wanalindana hao! Wote wanajuana
 
Mabasi yote sasa hivi ukiingia ndani unakuta vikaratasi vimebandikwa vikikusihii wewe abiria kupaza sauti pindi mwendo wa dereva unapokuwa wa hovyo. By the way, mwisho wa siku utakae kufa ni wewe na wala si trafiki.
Binafsi sijabahatika kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…