Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,760
Huu ni unafki, hata Yesu aliwachukia wanafki. Unafki ni sumu mbaya saaana.WaTz tukubali once again kuwa tulikosea, Mtu mmoja anataka watu wafuate sheria lakini yeye anazivunja !!.
Katiba zetu Africa na hasa ya Tzinamfanya Rais kuwa mungumtu.
Je lile gari la mtuhumiwa wa madawa ya kulevya lilikuwa linafanya nini ndani ya nyumba ya serikali?Atakuwa kahongwa na wauza unga huyu!!?
Bashite anapingwa vita na wauza unga tu.....!
Tena sio moja.Je lile gari la mtuhumiwa wa madawa ya kulevya lilikuwa linafanya nini ndani ya nyumba ya serikali?
Tanzania Daima sio gazeti la kulitegemea sana kwa sababu mrengo wake unaeleweka, Naamini sii kweli kuwa rais Magufuli amemzuia Makonda kuhojiwa na Bunge kwa sababu rais hana málaga hiyo. Ninachofahamu Makonda bado hajaitwa na Bunge wala hajawahi kuitwa mahakamani akagoma kwa sababu wito rasmi wa Bunge au Mahakama huletwa kwa samamsi inayotumwa kwa despach ambayo ni hand delivery na anapokea na kusaini kupokea. Siku ya siku asipotokea, anatumiwa arrest warrant anabebwa mzobe mzobe!.habar wakuu,
Leo hii amenukuliwa Spika Job Ndugai akidai kwamba wakimtaka Makonda hachomoki,..hapo sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli kati ya bunge na serikal..kwan taarifa zilizopo ni kwamba rais Maguful amemzuia Makonda kuitikia wito wa kamati ya bunge ya maadili
source:Tanzania Daima
In short ni kwamba ataongelea "free zone" au "international zone". Kwa maana nyingine ataongea akiwa nje ya Tanzania.Tutakuwa Airport leo!! Leo ndugai ataongea akiwa Pipani tayari kwa safari!!