Spika Ndugai: Kama kuna ofisa anamuhitaji mbunge aniambie, hatuwezi kwenda kibabe

Haya mambo yanachanganyaga sana..
Vipi kuhusu wabunge waliofatwa na kubebwa kwenda kuhojiwa na kuwekwa mahabusu?..

Kama Mh. Speaker anaona hii mbunge kuitwa kuhojiwa tuhuma ambazo ni za kibinafsi zaidi, ni ubabe..Vipi ambao wanasubiriwa kwenye milango ya bunge?.. Je hua anaombwa kiofisi na anatoa baraka mambo yale yafanyike..?!?
 
Back
Top Bottom