Habari wadau. Yajayo yanafurahisha. Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na...