Huyu mama (Makinda) anafanya kazi aliyotumwa na CCM. Kiti kapewa na maelekezo ya jinsi ya kuinufaisha CCM nayo kakabidhiwa.Hapo afanyaje wakati ana uhakika na mafao yake baada ya kustaafu? Hadi ifike 2015wananchi tutaumia sana kwa malumbano ya waheshimiwa bungeni