Mkuu kweli maskini akipata hujisifia. Mapendekezo yaliyochukuliwa ni asilimia 5 tu ya yote, rais bado ana madaraka makubwa na katika ikiisha bunge la katiba analiteua yeye, hapo huoni hay a marekebisho ni kiini macho? Tafakari kabla ya kuandika
kigumu chama cha mapinduzi
Hiyo nayo ni hatua muhimu na sio ya kubeza .Mapinduzi huwa hayaji siku moja....ni hatua kwa hatua...
Mnafiki huyo mama.
Hapo kwenye red inamuhusu pia yule kilaza wa mtera sijui anaitwa nanivile?