Kuna waovu werevu lakini kuna waovu wajinga. Waovu wajinga, wakipanga au kutejeleza uovu wao, siku nyingine huja kuelezea uovu wao wote uliokuwa umefichika.
Sijui ni laana au ni nini. Maana kila akifanya uovu, yeye mwenyewe huja kuelezea namna alivyofanya na watu alioshirikiana nao.