Spika kupiga simu kwa Rais kumuuliza majina ya wajumbe wa kuwaweka kwenye kamati ya bunge kunaashiria nini?

Jibu ni kwamba Spika na wanaomshauri hawana uwezo mentally (DHAIFU), au Bunge limelidhibitiwa na Ikulu.
 
Kuna waovu werevu lakini kuna waovu wajinga. Waovu wajinga, wakipanga au kutejeleza uovu wao, siku nyingine huja kuelezea uovu wao wote uliokuwa umefichika.

Sijui ni laana au ni nini. Maana kila akifanya uovu, yeye mwenyewe huja kuelezea namna alivyofanya na watu alioshirikiana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom