Nilipigwa na butwaa niliposikia Katibu wa Chama "..katumwa akatibiwe..", nikajiuliza how lakini sikupata jibu!! Najuwa mgonjwa huwa " anapelekwa" kutibiwa! Labda Mimi mkulima wa Kolomije sijui lugha!!
Kama Mtu mwny Afya zake Kinana alitumwa akatibiwe, sasa Ndugu yetu Ndugai Spana mkononi kila Siku si ndo atafurushwa kabisa akatibiwe badala ya kutumwa Kama Comrade
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.