Hiyo ni kawaida sana.Ila udikteta wa kutoruhusu maneno fulani yasiwekwe kwenye hansard ni utovu wa nidhamu!..kwa kuendelea zaidi,ingekuwa vizuri tuwe na voting records za wabunge,haya mambo ya kupayuka ndiyoo!!au sawa!! na kugonga meza ni mambo ya kienyeji mno na yamepitwa na wakati.Mwenyekiti wa mjadala wa jana alipwaya sana na nimekuwa nikijiuliza hii tabia ya Spika na Naibu wake kuwa hawapo muda mwingi wa mijadala ya Bunge. Kikao hiki kimeshuhudia mingi ya mijadala ikiendeshwa na wenyeviti tofauti tofauti na hivyo kukosa seriousness na hata consistency katika tafsiri ya kanuni na maamuzi yake.
Mwenyekiti wa mjadala wa jana alipwaya sana na nimekuwa nikijiuliza hii tabia ya Spika na Naibu wake kuwa hawapo muda mwingi wa mijadala ya Bunge. Kikao hiki kimeshuhudia mingi ya mijadala ikiendeshwa na wenyeviti tofauti tofauti na hivyo kukosa seriousness na hata consistency katika tafsiri ya kanuni na maamuzi yake.
Hili kwa kweli ni la muhimu sana....juzi tu tunawasikia kwenye chama wanakataa bei ya mafuta taa wakati ni wale wale waliopeleka mswada bungeni ambao pamoja na mambo mengine uliongeza kodi kwenye mafuta ya taa (tena kinyume na mapendekezo ya kikosi kazi cha kuboresha kodi) na ni hao hao waliopitisha mswada huo kwa kuupayuka tu ndiyooo. Si ajabu mwenyekiti wao ameshasaini muswada huo kuwa sheria!......kwa kuendelea zaidi,ingekuwa vizuri tuwe na voting records za wabunge,haya mambo ya kupayuka ndiyoo!!au sawa!! na kugonga meza ni mambo ya kienyeji mno na yamepitwa na wakati.
Ukweli 100%Ungeulizia kuhusu papuchi, thread ingekuwa iko page ya 44
Huwa ni kumbukumbu rejea, nimekupata mkuuNavyojua Mimi Hansard ni kumbukumbu za bunge ya mambo yote yaliyojadiliwa mfano sheria yoyote,na kazi yake utumika maktaba kwa kumbukumbu au marejeo pia hutumika kama source of information ya kilichojadiliwa bungeni.
Umeongea kishwria mkuu sijui kama watakupata hapa.simplifyHansard za bunge hurekodi kila kinachojadiliwa bungeni, maoni na mchango wa kila mbunge huingizwa kwenye Hansard.
Hutumika sehemu nyingi na kwa shughuli nyingi hasa unaweza kurejea kujua mbunge fulani mwaka 1995 alisema nini.
Moja ya matumizi ya Hansard za bunge hutumiwa na majaji kwenye kutafsiri sheria under mischief rule and purposive approach, hapa ni pale mahakama inapotaka kuitafsiri sheria ili kugundua lengo la bunge kutunga sheria fulani ilikuwa ni nini ( intention of the legislature) majaji huwa wanaamua kurudi kwenye Hansard za bunge kwa mfano jaji anataka kupata maana ya vifungu Fulani vya sheria ya mtandao Cybercrime Act anaweza kutafuta Hansard za 2015 siku waliyokuwa wanajadili upitishwaji wa hiyo sheria akaangalia wabunge walisema nini hii inasaidia kujua tafsiri na lengo halisi la bunge kutunga sheria husika. Japo kuwa hii haifanywi mara kwa mara na mahakama Bali ni pale mahakama ikiamua ku resort to a mischief rule or purposive approach tofauti na aina zingine za kutafsiri sheria
Nakushukuru kwa kututoa tongotongo.Hansard za bunge hurekodi kila kinachojadiliwa bungeni, maoni na mchango wa kila mbunge huingizwa kwenye Hansard.